Jeremiah 2:10
10 aVuka, nenda ng’ambo mpaka pwani ya Kitimu ▼▼ Kitimu hapa ni Kipro, kisiwa katika Bahari ya Mediterania.
nawe uangalie,
tuma watu waende Kedari, wachunguze kwa makini,
uone kama kumekuwepo kitu kama hiki.
Copyright information for
SwhKC